Results for  #Habari
ITV Tanzania  - May 21, 2018
#Habari:Mfadhili kutoka nchini Ujerumani Dkt.Ansgar Stüfe amesikitishwa na Zahanati tatu alizozijenga katika vijiji vya Litisha,Mdundualo na Lugagara wilayani Songea ili kuwasaidia wananchi kufungwa kwa kukosa wahudumu huku moja katika kijiji cha Mdundualo ikigeuzwa kuwa duka. https://t.co/kyQ1urBp8D
 Be the first to like this.
Sign in to report this post

ITV Tanzania  - June 29, 2016
#Habari:Uteuzi wangu nilioufanya nimefanya Combination nzuri sana,vijana wamo wakati nao wamo.#RaisMagufuli.
  like this. 
Sign in to report this post

ITV Tanzania  - May 20, 2016
#Habari:Mazungumzo ya kutafuta amani nchini Burundi yanatarajiwa kuanza hapo kesho jijini Arusha ambapo Rais Mstaafu waTanzania Benjamini Mkapa wa awamu ya tatu, aliteuliwa kuwa msuluhishi wa mgogoro huo.
Benjamin Mkapa atakuwa na kazi ya kufufua mazungumzo kati ya serikali ya Burundi na upinzani, na atasaidiana na Rais wa Uganda Yoweri Museveni.
 Be the first to like this.
Sign in to report this post

ITV Tanzania  - April 5, 2016
#Habari:Watumishi 3 wa Halmashauri wasimamishwa kazi kwa matumizi mabaya ya madaraka Singida.Bofya hapa->http://bit.ly/1S7pyTq
 Be the first to like this.
Sign in to report this post

ITV Tanzania  - March 31, 2016
#HABARIZILIZOTUFIKIAHIVIPUNDE:Taasisi ya Kuzuia na Kupambana na Rushwa TAKUKURU yawaburuza Mahakama ya Kisutu wabunge wa 3 wa Kamati za Kudumu za Bunge wanaotuhumiwa kwa Rushwa.
1.Mh.Victor Mwambalaswa Mbunge wa Lupa,Sadiq Murad Mbunge wa Mvomero na Kangi Lugola Mbunge wa Mwibara
 Be the first to like this.
Sign in to report this post

ITV Tanzania  - March 24, 2016
#Habari:Mkuu wa Wilaya ya Njombe Bi.SARAH DUMBA aliyefariki siku ya Jumapili katika Hospitali ya Mkoa wa Njombe ya Kibena anatarajiwa kuzikwa leo Kigamboni Mkoani Dar es Salaam.
Ibada ya mazishi inatarajia kufanyika katika Kanisa la Kiinjili la Kilutheri Tanzania KKKT Kigamboni.
 Be the first to like this.
Sign in to report this post

ITV Tanzania  - March 15, 2016
#Habari:Tanzania imetajwa kuongoza kwa idadi ya kubwa ya wagonjwa wa kisukari A/Mashariki 9% wanaugua ugonjwa huo.
 Be the first to like this.
Sign in to report this post

ITV Tanzania  - March 1, 2016
#Habari:Mbowe aitwa haraka Mbeya kunusuru chama baada ya kuibuka mgogoro Mkubwa.Bofya Hapa->bit.ly/1XXo5nG
 Be the first to like this.
Sign in to report this post

ITV Tanzania  - March 1, 2016
#Habari:Mbunge wa Kilombero Peter Lijualikali amekamatwa na Polisi wakati akitaka kushiriki uchaguzi wa mwenyekiti wa Halmashauri hiyo leo.
 Be the first to like this.
Sign in to report this post

ITV Tanzania  - February 26, 2016
#Habari:Wahamiaji 39 raia wa Ethiopia walioingia nchini bila kibali wakamatwa mkoani Kilimanjaro.Bofya hapa:-http://bit.ly/24t7jBt
 Be the first to like this.
Sign in to report this post

ITV Tanzania  - February 19, 2016
#Habari:Wafanyabiashara wa simu waomba kuongezwa muda wa kuzimwa kwa simu feki.- Soma zaidi http://bit.ly/1QOeElk
 Be the first to like this.
Sign in to report this post

ITV Tanzania  - January 31, 2016
#Habari:Watu wanaodaiwa kuwa ni Majangili wametungua helkopta na kuua rubani katik hifadhi ya taifa ya Serengeti.-> Bofya hapa http://bit.ly/1WTF2yV
 Be the first to like this.
Sign in to report this post

ITV Tanzania  - January 28, 2016
#Habari:Watu 29 wamelazwa katika hospitali ya Mrara ya halmashauri ya mji wa Babati mkoani Manyara baada ya kugundulika kuugua ugonjwa wa kipindupindu, huku wataalam wa afya wakidai kupatwa na hofu ya huenda idadi kubwa ya wagonjwa ikaendelea kuongezeka kutokana baada ya kupokea wagonjwa 18 siku tatu zilizopita na hadi kufikia saa sita mchana ya leo (alhamisi) idadi hiyo imeongezeka toka wagonjwa 28 hadi kufikia 29.->...see more
 Be the first to like this.
Sign in to report this post

ITV Tanzania  - January 26, 2016
#Habari:Wabunge watakaoapishwa ni wale walioteuliwa au kuchaguliwa katika majimbo ambayo uchaguzi uliahirishwa kutokana na vifo vya wagombea
 Be the first to like this.
Sign in to report this post

ITV Tanzania  - January 25, 2016
#Habari:Tanzania yahimizwa kuwekeza katika masuala ya uhifadhi wa mazingira na kukabiliana na changamoto za mabadiliko ya tabianchi.
 Be the first to like this.
Sign in to report this post

ITV Tanzania  - January 24, 2016
#Habari:Jamii yatakiwa kudumisha upendo ili kutatua changamoto za watu wenye mahitaji maalum.-> soma zaidi http://bit.ly/1PsJlBH
 Be the first to like this.
Sign in to report this post

ITV Tanzania  - January 24, 2016
#Habari:Viongozi wa madhehebu ya dini wameungana kumaliza migogoro ya ardhi Morogoro.- soma http://bit.ly/1ZL5A5e
 Be the first to like this.
Sign in to report this post

ITV Tanzania  - January 24, 2016
#Habari:Watu 3 wamefariki dunia baada ya gari aina ya Noah kugongana uso kwa uso na basi la kampuni ya Adventure Buingiri mkoani Dodoma.
 Be the first to like this.
Sign in to report this post

ITV Tanzania  - January 24, 2016
#Habari:Watu 2 wamefariki na kaya 20 hazina makazi kutoka na mvua zinazonyesha Kigoma.->http://bit.ly/1OH7hxy
 Be the first to like this.
Sign in to report this post

ITV Tanzania  - January 12, 2016
#Habari:Serikali imetangaza kuwa haitasita kuchukua hatua kali kwa kufunga viwanda, migodi na huduma nyingine za uzalishaji bila kujali zina mchango gani kwa uchumi wa taifa endapo zitabainika kufanya shughulizao bila kufuata sheria za uhifadhi wa mazingira na vyanzo vya maji nchni.->http://bit.ly/1P7erZ5
 Be the first to like this.
Sign in to report this post

ITV Tanzania  - January 10, 2016
#Habari:Serikali yaifutia kibali kampuni ya SUNSHINE MINING LIMITED inayojishughulisha na uchenjuaji wa madini ya Dhahabu Chunya.
 Be the first to like this.
Sign in to report this post

ITV Tanzania  - January 10, 2016
#Habari:Serikali kurejesha muswada wa huduma za vyombo vya habari Bungeni.->http://bit.ly/1mNaHWa
 Be the first to like this.
Sign in to report this post

ITV Tanzania  - January 10, 2016
#Habari:Dkt.Shein azindua jengo la afya ktk Hospitali ya Kuvunge mkoa wa kaskazini Unguja.->http://bit.ly/1K4RuEG
 Be the first to like this.
Sign in to report this post

ITV Tanzania  - January 10, 2016
#Habari:Maghembe aanza kukabiliana na changamoto za migogoro maeneo ya hifadhi,utalii na ujangili.
 Be the first to like this.
Sign in to report this post

ITV Tanzania  - December 30, 2015
#Habari Jeshi la Polisi kanda maalum ya Dar es Salaam limepiga marufuku upigaji wa fataki na risasi za moto usiku wa mwaka mpya na kuonya watu kutochoma matairi barabarani kwani sio sehemu ya sherehe za kukaribisha mwaka na kuonya wakazi kuchukua tahadhari nakutoa taarifa wanapoona dalili za uhalifu.
  like this. 
Sign in to report this post

ITV Tanzania  - December 30, 2015
#Habari Mamlaka ya mawasiliano nchini -TCRA imetoa onyo kali kwa kampuni 5 za simu na kuziagiza zilipe faini ya shilingi milioni 25 kwa kukaidi agizo la mamlaka hiyo la kuhakikisha usalama kwenye mitandano yao.

Mkurugenzi mkuu wa mamlaka hiyo Profesa Ally Simba amesema wamepokea malalamiko mengi ya watu kutapeliwa ambapo imekuwa ni kawaida kwa wateja wa makampuni hayo kutapeliwa fedha huku makampuni yakiacha kudhibiti vitendo hiv ...see more
 Be the first to like this.
Sign in to report this post

ITV Tanzania  - December 28, 2015
#Habari Jeshi la Polisi mkoani Morogoro kwa kushirikiana na jeshi la polisi mkoa wa kipolisi Kinondoni jijini Dar es Salaam limefanikiwa kuwatia mbaroni watuhumiwa nane wa ujambazi wakiwa na bunduki mbili aina ya Shot Gun na risasi 11 sambamba na watuhumiwa wanaodaiwa kujishughulisha na biashara ya madawa ya kulevya ambao kati yao watatu ni familia moja.
 Be the first to like this.
Sign in to report this post

ITV Tanzania  - December 28, 2015
#Habari Jeshi la kujenga taifa limesaini makubaliano ya awali kati yake na baraza la uwezeshaji la taifa kuandaa mpango bora wa kuwawezesha vijana wanaopitia JKT kujiajiri kwa kuwaunganisha na asasi za fedha pamoja na kuboresha mbinu mbalimbali za ufundishaji wa stadi kazi na malezi ya vijana ili kuendana na mabadiliko ya sayansi na teknolojia.
 Be the first to like this.
Sign in to report this post

ITV Tanzania  - December 28, 2015
#Habari Wafanyabiashara zaidi ya 320 waliopo katika soko kuu la vyakula wilayani Muheza wameigomea serikali na kutishia kutolipa kodi baada ya kutakiwa wahame katika soko hilo kwenda katika eneo la Michungwani walilodai kuwa lipo umbali mrefu na hakuna makazi ya watu ambao ndio wanunuzi wakuu wa bidhaa mbali mbali za vyakula wanavyouza.
  like this. 
Sign in to report this post

ITV Tanzania  - December 28, 2015
#Habari Idara ya mahakama inahitaji zaidi ya shilingi zaidi ya bilioni moja nukta nane ili iweze kuwahamisha watumishi wa ngazi mbalimbali katika idara hiyo hapa nchini wapatao mia moja tisini na mbili waliokaa kwenye kituo kimoja cha kufanyia kazi kwa muda mrefu.->http://bit.ly/1PsiRwE
 Be the first to like this.
Sign in to report this post

ITV Tanzania  - September 17, 2015
#Habari?:Rais Jakaya Mrisho Kikwete akikata utepe kufungua rasmi Terminal ya mbolea ya kampuni ya Norwa ya YARA Kurasini jijini Dar es salaam Kulia ni Naibu Waziri Ofisi ya Makamu wa Rais Mheshimiwa Ummy Mwalimu Mama Monica Maeland, Waziri wa Biashara na Viwanda wa Norway.Kutoka kushoto ni Mwakilishi wa YARA nchini Bw.Alexandre Macedo na Rais na Mtendaji Mkuu wa YARA Bw. Svein Tore Holsether.
 Be the first to like this.
Sign in to report this post

ITV Tanzania  - September 17, 2015
#Habari:Rais FRANCOIS HOLLANDE wa Ufaransa ameahidi kuisaidia Nigeria vifaa vya intelijensia na kijeshi katika kupambana na wapiganaji wa kikundi cha Boko Haram.
 Be the first to like this.
Sign in to report this post

More Companies


More Vacancies


More Resumes


More Events